memory card 1 Gb ya nokia E72

memory card 1 Gb ya nokia E72

Bingley

Senior Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
103
Reaction score
9
ninatafuta memory card ya nokia E-72 ya 1 Gb. Nipo Dar, kimara mwisho.
Simu 0685650019
 
2GB TF card Memory for Nokia 5250 5233 E72 E71 E63 E028
Mzee kama bado hujaipata hiyo memory card ya Nokia E72 yako, sisi tunaweza kukuagizia kutoka San Francisco, USA ambako tumezipata mpya. Bei yetu ya sokoni ni $ 20.0 na gharama ya kuisafirisha mpaka Dar ni $ 5.00 hivyo jumla ni $ 25.00 au equivalent in Tshs kutegemeana na soko la madafu hapo Dar siku unayokuja kulipia. Utalipia ikishafika Dar kwa agent wetu aliyeko karibu na Posta mpya hapo Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi au kama unahitaji kitu kingine ambacho huwezi kukipata kwenye masoko ya Tanzania basi tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com ili tufanye biashara.
 
pasific marine what about nokia e72 kuiagiza huko hadikuifikisha nchini bongo itagharimu how much
 
mkuu kwa elfu 20,000/= ninaweza nikakufanyia kwa 2gb Kingston kuna jamaa yangu Bukoba, Mwanza na Arusha kama unataka niambie (while stock lasts..)

micro sd 2gb.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom