Nokia N8

Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
15
Habar za asubuh wanajf,naomba mnijuze,nina cm ya nokia N8,betr yake ni fixed hiv nikitaka kubadilisha inawezekana?
 

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,205
12,096
Dukani nimezikuta za mchina wanauza 130,000. U cant tell them apart.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom