Petrol Water Pump for sale (250,000)

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Nauza Water Pump Ya Petrol, nimeitumia kwa muda wa miezi miwili. Ina kila viunganishi vyake, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote, atakayenunua ntampa na mipira yake ya kuvutia na kutolea maji bure. Bei ni 250,000 (Laki mbili na Nusu). Kwa maelezo zaidi niPM.

Shukran.
 

Attachments

  • pump.jpg
    pump.jpg
    161.2 KB · Views: 81
Naomba kufahamu yafuatayo:-
1. Ni horsepower ngapi mkuu?
2. Ni made in where? China, Japan au India?
Asante
 
Nimecheki kwenye tag yake. Kuna maelezo yafuatayo.
Gasoline engine model 168f
Engine max power 5.5HP, intake and outlet DI - 50mm, pump output 35m cube/hr, pump lift 26m, rational vel 3600r/min, rated self-suction Hei - 7m, weight 25kg.
 
Nitahitaji niikodi kwa 25,000 kwa cku km itakuwa haijachukuliwa bado kuondoa maji ya kipindi cha mafuriko
 
Natafuta pump yenye uwezo wa kuvuta maji ya kisima chenye urefu wa mita 20, iwe ya petrol au diesel

Pump yako uwezo wake ni kuvuta maji mita 7 tu
 
Back
Top Bottom