Earphone za blackberry zahitajika

Earphone za blackberry zahitajika

tsar

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
74
Reaction score
2
Nahitaji original earphone za blackberry
Kwa mwenye nazo ani pm tufanye biashara.
 
kaka hizi si nilikupa wewe au na wewe unafanya biashara ..kheeee

Hahaha hamna kigogo' siwezi uza zawadi mkubwa. Nna sista angu ndo anataka nunua! Ulizonipa zipo mkubwa wangu. Asante
 
Unataka kama ngapi mkuu. ninazo nyingi sana
 
Back
Top Bottom