natafuta photocopy machine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta photocopy machine

Discussion in 'Matangazo madogo' started by vegeterian, Dec 23, 2011.

 1. v

  vegeterian New Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wooooorapz? natafuta photocopy machine, nipo dodoma kama unayo na unaiuza tuwasiliane kwa namba 0785009236.email,,, samwely.kisinga@rocketmail.com
   
 2. z

  zaklove Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwisho wa baajeti yako ni ngapi nikunganishe na mtu anazo kubwa
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Anazo za aina gani na bei zake ni zipi? Bajeti millioni moja hivi!Jaribu kuweka model tofauti za bei tofauti tofauti tafadhali1 Au kama vipi weka namba yake tafadhali!
   
 4. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,359
  Trophy Points: 280
  Kwani mwanzo wa bei zake ni ngapi! binafsi ningependa kununua moja na uwezo wangu hauniruhusu kununua mpya wala iliyochoka sana, so ingekuwa vzr kama ungeweka angalau bei ya kuanzia
   
 5. z

  zaklove Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipo lexmark ambayo ni photocopy , printer na scanner pia kuna kyocera ila anasema kuna mtu ameshaweka order hajatoa hela akishindwa kulipa atanijulisha
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jaribu kucheck hii thread itakuwa msaada kwako:

  jamiiforums.com/matangazo-madogo/195657-natafuta-used-photocopy-machine.html#post2880357
   
Loading...