Hi.
I just bought about 3 weeks ago SAMSUNG B7722.
Features include-
Wifi
Bluetooth
Double Line
3g
Touch Screen.
Selling at almost costing- $200.
Reason- I dont like it, i want iphone or...
Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayeweza kunisadia, natafuta nyumba ndogo kama servant's quarter au upande wa nyumba katika eneo lillilotulia kwa budget ya kuanzia 150,000...
Nina kiwanja changu chenye ukubwa wa square meter 2,055 katika eneo la mabwepande, kata ya bunju-manispaa ya kinondoni. Hichi kiwanja ningependa kukikipangisha kwa makampuni ya simu wanaohitaji...
Nauza Water Pump Ya Petrol, nimeitumia kwa muda wa miezi miwili. Ina kila viunganishi vyake, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote, atakayenunua ntampa na mipira yake ya kuvutia na...
Wadau ninechoka na Mafundi wa Uswahilini ambao wao hutengeneza Magari kwa kubahatisha. Natafuta Fundi mzuri wa Mechanics hapa Bongo anayetumia vifaa vya Kisasa kufanya Diagnostics kama Computer...
Nauza TOYOTA Vtz ,rangi ya kijani yenye namba T 364 BFD. Nimeiokota imeletwa na maji ya maafriko.Haina kadi ya gari wala nn! bei maelewano. aliyekua tayari kuinunua aniPM.
Wakuu salam,
Natafuta blackberry 8520 mpya ikiwa na accessories zake zote. bajeti yangu ni 250,000/= negotiable
kama una hiyo simu unipm au piga 0718637491.
mkuu marty unahusika sana hapa
Nyumba self contained inapangishwa Kimara Temboni. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen, store na eneo la takribani ekari moja linalofaa kwa kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.