Nina kiwanja changu chenye ukubwa wa square meter 2,055 katika eneo la mabwepande, kata ya bunju-manispaa ya kinondoni. Hichi kiwanja ningependa kukikipangisha kwa makampuni ya simu wanaohitaji kuweka minara ya simu. Ni eneo zuri liko flat na liko juu wala haiwezi kuwa na tatizo la mafuriko. Pia liko karibu barabara itokayo bunju b kwenda mbezi kwa luis-morogoro road (yaani kiwanja kimetenganishwa na road reserve tu kutoka kwenye barabara).
Ni surveyed kiwanja, nami nakipangisha kwasababu sina mpango wa kukiendeleza hivi karibuni, kwani kuna vitu ninavyofanya kwasasa na hivyo inaweza ikanichukua hata miaka 8-10 kuja kukiendeleza. pia kama kuna mwenye pesa ya kunishawishi, pia naweza kumuuzia moja kwa moja.
kwa wale wenye kuhitaji na wako serious hasa makampuni ya simu, wanaweza kuni-pm.
Rdi.