Natafuta Mechanics Mzuri

Natafuta Mechanics Mzuri

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,460
Wadau ninechoka na Mafundi wa Uswahilini ambao wao hutengeneza Magari kwa kubahatisha. Natafuta Fundi mzuri wa Mechanics hapa Bongo anayetumia vifaa vya Kisasa kufanya Diagnostics kama Computer maana nimechoka kila siku kununua Spea bila kujua Ugonjwa wa Gari

Asante
 
Bado Nakumbushia Ndugu Wataalamu wa JF
 
Back
Top Bottom