Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji external HDD 500GB ya kununua nikipata Transcend itakua mzuka zaidi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakubwa heshima kwenu,jana katika pilikapilika eneo la gerezani kkoo-dsm, nilisahau mkoba uliokua na laptop mini hp pamoja na documents nyingine,niligundua baada ya masaa mawili na niliporudi pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote ambaye ana simu ya nokia 5130-express music,ambayo kioo/display yake imevunjika anitafute nitampa bure ipo kwenye simu yangu ambayo ilizima tu ghafla ila display ni nzima,cha muhimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Easy,Exciting,Exciting pad transformer 16GB,1.2M/5M Camera ANDROID WW,MOBILE,2CELL3300 Contact:0712054592,0789597300
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Habari njema kwa watanzania wote. Kampuni ya Young Master Supplies & General Enterprises inakuletea training DVD ambazo zitakuwezesha wewe Mtanzania kuweza kujifunza kutumia computer au program...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
iwe haina scratch na iwe na charger yake. Call 0655003510
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Habarini wakuu Natumaini mmesherehekea vizuri sikukuu ya x-mas na tunausubiri mwaka 2012 kwa hamu panapo majaaliwa. Ninaomba kujuzwa kwa mambo kadhaa kuhusu aina hii ya gari mitsubishi lancer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
inahitajika modem ya gsm ya 3 au 3.5g hata used
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Iwe na 2GB ram,120GB HDD au zaidi,2Ghz,dvd rw,wifi,charge ikae masaa 3 au zaidi,kama ni mini bas iwe na 320GB HDD au zaidi,nina 350,000/= niPM kama unayo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Nina Bajaj naiuza, hii ni baada ya kuamua kuachana na hii biashara. Vielelezo (specifications) vyake ni kama ifuatavyo: Ni 4 strokes (205 cc) Ni ya April 2011 Iko Dar es salaam. Bei ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni! ukubwa sqmitter 1646 Bei 25ml Kimepimwa kipo Block no 22. Kwa mhitaji PM tupeane maelekezo zaidi Asanteni. 3
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu binafsi wadau! Kuna shamba linauzwa,liko Kibaha kwa Matius njia ya kwenda kwa Dr Bayi lina ukubwa wa ekari 1.5 bei yake ni million 3 na nusu kwa mawasiliano zaidi...mpigie MR SUNDAY...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
4GB RAM 360 HARD DRIVE DISK 3GB Hertz PROCESSOR SPEED 14inch LED MONITOR BLUETOOTH AND WI-FI FINGER PRINT AND EYE CONTACT SECURITY 4 USB PORTS PRICE: 950,000/- Free modem; airtel or zantel there...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari, kwa yeyote anaeuza bb bold esp white... I nid it fasta
0 Reactions
4 Replies
1K Views
pm me the price
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Msafiri wenzako ambaye hamjuani kakupa mkoba umshikie,alipoteremka kasahau kuuchukua toka kwako.nawe unahaja ya kumrudishia.je unapaswa ufanyeje.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tangazo hapo juu! Ina internal memo 120 mb camera bluetooth, wifi, 3G, ni used ila iko kwenye hal nzur.
1 Reactions
2 Replies
883 Views
Heshima mbele wakuu, naomba mwenye e-mail za cocacola anipe nina shida nayo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza bata mzinga kanga na bata bukini wakubwa kwa wadogo simu yangu 0757-662401
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni old model, ya mwaka 1997, imetembea km 135,475, ipo kweye hali nzuri mno, kama unahitaji nichek kwa no. 0713464208. ( inapatikana Dar). bei ni 10 mil. nimeshindwa namna ya kuweka picha hapa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom