Natafuta Nyumba ndogo /Servant's quarter/

Natafuta Nyumba ndogo /Servant's quarter/

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
132
Reaction score
87
Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayeweza kunisadia, natafuta nyumba ndogo kama servant's quarter au upande wa nyumba katika eneo lillilotulia kwa budget ya kuanzia 150,000 -250,000, nyumba iwe ndogo yenye chumba kimoja au viwili katika maeneo kama mbezi beach, mikocheni sinza, kijitonyama,kinondoni, kurasini, chang'ombe. kama unafahamu nyumba au mtu yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali naomba msaada wako , asante sana.
 
ooshh! nilivyosoma kichwa cha habari nikajua unataka mke mdogo.
 
Back
Top Bottom