Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 18, feb,2012 wanatimiza miezi miwili. Wamebaki watatu. Bei ni Tshs 300,000/= kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464 0762 101 178
MSAADA....... MSAADA....... MSAADA....Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye...
lipo katika kijiji cha lugwadu wilaya ya mkuranga. Ni km 6 kutoka barabara kuu ya kongowe kigamboni na km 24 kutoka ferry na km 8 kutoka kongowe. Shamba lina ninazi mikinda na mikorosho...
hi wakali,
nina kiassignment changu cha ghafla porini na ninahitaji moja kati ya magari hayo mawili hapo juu...
itategemea lenye hali nzuri na bei ya sale.....
nissan patrol iwe ya pump ya...
Heshima wakuu, ninahitaji kwa mwenye nalo shamba hata kama ni pori lenye ukubwa wa eka tano kama zimepungua pia tuwasiliane tu.. ziwe nje ya dar na pembezoni ama karibu ya ufukwe. natanguliza...
Ukubwa nusu eka( mita 70 kwa mita 35) maji na umeme yapo jirani,kipo umbali wa mita 100 kutoka main road Kanisa la kkkt lipo karibu. Bei ni milioni 30.
Nina rafiki yangu mmoja yupo maeneo ya Arusha anatafuta used laptop aina ya Dell D620 au laptop yoyote used. Bei aliyonayo n sh. 300,000/= kwa yeyote mwenye used laptop ambaye angependa kumuuzia...
12000mAh LAPTOP SOLAR CHARGER
1.Scope for charging: laptop, any mobile phone,digitalcamera,mp3,mp4,PDA,PSP,GPS,DV etc.(USB and 13 mini connected pins)
2.Flashlight:1 high light Ø10mm...
Nina LG GU285 niliagiza toka nairobi,ni 3g na ina mambo mengi na pia internet yake ipo fasta,ina earphone zake na chaja ni line moja isipokuwa screen yake si kubwa sana kama ninavyopenda...
habari wakubwa,
we are developing bussines website for only laki moja tu!!!!!!!
if you are you want one email us ashtatu@gmail.com
(hosting and publishing cost excluded)
thank you,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.