unahitaji training DVD za kujifunzakutumia computer au program bila kwenda darasani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unahitaji training DVD za kujifunzakutumia computer au program bila kwenda darasani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Michael Amon, Dec 30, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Habari njema kwa watanzania wote. Kampuni ya Young Master Supplies & General Enterprises inakuletea training DVD ambazo zitakuwezesha wewe Mtanzania kuweza kujifunza kutumia computer au program yoyote ukiwa nyumbani kwako au ofisini na kukufanya wewe kuwa mtaalamu wa kutumia computer au program husika bila ya kuwa na haja ya kwenda darasani.

  Training DVD hizo zimeandaliwa kwa umakini mkubwa na wataalamu waliobobea katika fani ya computer na kutengenezwa na makampuni maarafu duniani yanayoongoza kwa kutoa mafunzo online.

  Tunazo training DVD mbali mbali zitakazo kuwezesha wewe kuweza kujifunza kutumia computer au software flani. Eg: Networking, Adobe, PC repair and meaintenance, web designing, Graphics designing n.k. Training DVD zote zinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya sh.10,000/= kwa training DVD moja na utaletewa training DVD hiyo popote ulipo ndani ya siku saba baada ya kutoa order. Kwa wale ambao wapo nje ya jiji la Arusha itabidi kutoa malipo ya ziada kwa ajili ya gharama za usafirishaji na gharama hizo zitategemea na mahali ulipo.

  Kwa order au maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia anwani zilizopo hapo chini.

  Contacts:
  Mobile: +255789 884 221
  E-mail: youngmasterent@gmail.com
   
 2. N

  NAPSTAR JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 769
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MI NINAYO YANGU AMBAYO INAFUNDISHA COMPUTER BASICS BUT CO BEI KIASI HICHO NI TSH.5000/= tu
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sawa unaweza ukawa nayo ya kwako lakini kumbuka kuwa kinachotofautiana hapa ni ubora na wala sio urahisi wa bei au upatikanaji wa kitu. Wewe unaweza ukawa nayo ya kwako lakini ubora wa DVD yetu na ya kwako sio sawa kwa sababu DVD hizi zinatengezezwa na makampuni maarufu ya kutoa mafunzo online duniani. Sisi tunaziuza bei rahisi tofauti na bei wanazoziuza wao ili kukuza elimu na teknolojia na kuwarihishia watanzania kuweza kujifunza mambo mengi bila ya kuwa na haja ya kwenda darasani, kupoteza pesa au muda mwingi. Kama wao wameweza na sisi tushindwe tuna nini? Kama huamini nunua DVD moja na utajionea tofauti
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hizo DVDs zimeandaliwa na nani? Na kuna demo zozote mnazotoa online au mtu sharti atoboke mfuko tu asiporidhika shauri yake?
  Funguka mkuu, Siyo kusema2 kuwa DVD zimeandaliwa na wataalam na makampuni makubwa; ni makampuni gani hayo, kuwa muwazi tuone kama bidhaa yako inafaa!
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa swali lako mkuu. Training DVD hizo zimeandaliwa na makampuni makubwa kama Amazon, Total training n.k. na training DVD zote zina Demo zake. Kama mteja atapenda kuona demo hizo kabla hajanunua hiyo Training DVD, tutamtumia link kwa njia ya e-mail ambayo itamwezesha yeye kuangalia Demo ya training DVD ambayo anaihitaji online na akiridhika nayo tutamuuzia DVD nzima. Nakuhakikishia kuwa Training DVD hizo ni nzuri sana na zimefanyiwa majaraibio na wataalamu wetu na kuonekana kuwa ni nzuri sana kuliko hata wewe unavyodhania na zitamsaidia hata mtu yule ambaye hajui kabisa kile kitu ambacho anahitaji kujifunza ili mradi tu uwe unajua lugha ya kiingereza.
   
 6. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hizo dvd zinaelezea kwa lugha gani hayo maelekezo?
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Training DVD zote zinaelezewa kwa lugha moja tu ya kiingereza (English).
   
 8. a

  asif JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  mimi na hitaji backtrack 5. je unayo??
   
 9. a

  asif JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  na vile vile i need Certified Security analyst and licensed penetration tester
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Traing DVD za back track 5 bado hazijatoka. Naomba ututumie e-mail kupitia anwani zetu zilizopo hapo juu kuhusiana na hiyo training DVD ya backtrack 5 unayoihitaji ili ikitoka tukujulishe. Ila kwa sasa tuna Training DVD ya backtrack 4. Kama utaihitaji hiyo ya backtrack 4 usisite kuwasiliana nasi na kuweka order yako.
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hiyo "Certified Security analyst and licensed penetration tester" unayoihitaji ni kwa ajili ya back track au?
   
 12. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mimi nahitaji hizo DVD sana ukitaka ni pm tujadili.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Training DVD hiyo ya "Certified Security analyst and licensed penetration tester" ipo kwenye set yenye DVD 6. Kama unaihitaji usisite kuwasiliana nasi na kuweka order yako.
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sawa. NitakuPM muda si mrefu
   
 15. N

  NAPSTAR JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 769
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kuiga
   
 16. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mnachekesha .wekeni basi Bei zenu wazi ili ijulikane nani mwenye nafuu. Isiwe video zenu ni kama za lynda.com mmepakua toka kwenye torrent alafu muwagonge watu bei kama ile ya original
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Marumbano haya ni kwa ajili ya nini!?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...