Ukiachiwa mzigo ndani ya daladala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiachiwa mzigo ndani ya daladala

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kichenje, Dec 29, 2011.

 1. K

  Kichenje Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msafiri wenzako ambaye hamjuani kakupa mkoba umshikie,alipoteremka kasahau kuuchukua toka kwako.nawe unahaja ya kumrudishia.je unapaswa ufanyeje.
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  peleka kituo cha police wala usifungue kuangalia kilichomo maana wengine wanabeba majini kwenye mabegi yao
   
 3. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,243
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kaka... Unaenda kituo cha habari aidha tv au radio... Kipindi kinachosikilizwa na wengi then itoe kama tangazo... Huyo mtu atajitokeza tuu.. Tena si ulishawahi kumuona so there will be no mchakachuaji... Tena unampa maswali ataje ndani kuna nini
   
Loading...