Wakuu HNY! Jana nimekutana na mtu anauza iphone ambayo kwangu nikahisi ni ya kichina bei 200,000. Hivi hizi zina shida kwenye kuingia kwenye internet?browsing?,address book,sms, memory au basic...
habar zenu!.
Her ya mwaka huu 2012.
Nmeambiwa bongo inaongoza kwa dawa za kuongeza nguvu za uume....
Huku nchi nliopo wameanza kuulizia nchi gani zinapatikana...kumbuka jamaa huku wanahitaji za...
Diwani wa Chama cha Kata ya Mtibwa, wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro Chadema, Tusekile Mwakyoma(28), amefariki dunia, baada ya kuchomwa kwa kisu na mchumba wake.
Diwani huyo alifariki jana...
Wadau wana jf wenzangu.
Ninahitaji radio call za kununua .please kwa mwenye kufahamu mahala zinapouzwa hapa dar anijulishe kwa kupitia hapa jamvini au kwa simu no . 0712 926 823
asante.
Natafuta kiwanja maeneo ya Arusha chenye ukubwa wa hekari mbili. kwa mwenye nacho au kama unajua kiwanja chochote kinachouzwa chenye ukubwa huo tafadhali usisite kuwasiliana nami kupitia anwani...
Wakuu nimeweka mahesabu lakini hayaingii kichwani!
haya naombeni saada sasa!
Eka moja = sqm??
na kama ni mraba Upana?? * Urefu??
upimbi wangu unaniambia kuwa eka moja ina sqm 4000, this will give...
Wadau, kutokana na wingi wa bidhaa hii hapa nchini naomba kujuzwa wapi naweza kupata genuine solar equipments kwa bei reasonable. ninayoweza kupower nyumba yangu kwa ac maana yake nahitaji...
I am selling old computers, UPS, a photocopier, and printers. I was using the equipment in my 'stationery' business. They are not in perfect condition but they can be repaired and used or...
nina simu Nokia n73 symbian os orijino,nimeichoka kuitumia na ipo katika hali nzuri natafuta mtu wa kubadilishanae na simu nyingine,yoyote anijulishe ana simu gani tumadilishane!
HAPPY NEW YEAR 2012 Wale wataalamu wa I.C.T wanashughulika na huduma zifuatazo;-
- HOME SATELLITE DISH
- COMPUTER MAINTANANCE and REPAIR
- CCTV CAMERA INSTALLATION
- DATABASE DEVELOPMENT and...
Nawasalimu wajameni, Naomba mwenye ufahamu ni wapi ndani ya bongo (Dar) naweza kupata GPS (Global Positioning System) anielekeze ninahitaji kupata kadhaa. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.