Kiwanja Kibada Kigamboni.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,444
8,239
Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni! ukubwa sqmitter 1646
Bei 25ml
Kimepimwa kipo Block no 22.
Kwa mhitaji PM tupeane maelekezo zaidi
Asanteni.3
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
28,377
26,739
Mbona mnakua wezi namna hiyo?
Kigamboni waliuza kwa Tshs 6,000/= kwa Sqr Mtr,
Kwa ukubwa huo bei ya Serikali ni kama 9,876,000/=, yaani hat kama ni kuweka faida but sio parefu namna hiyo,
Nyinyi ndio Mungu anawasubiri kwa hamu siku ya kiama,
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom