nimepoteza laptop

Kiteitei

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
1,587
1,523
wakubwa heshima kwenu,jana katika pilikapilika eneo la gerezani kkoo-dsm, nilisahau mkoba uliokua na laptop mini hp pamoja na documents nyingine,niligundua baada ya masaa mawili na niliporudi pale nilifanikiwa kupata begi pamoja na nyaraka bila laptop vikiwa vimetupwa kwenye gari bovu,ilikuwa usiku hivyo sikuwa na wa kumuuliza,leo nimejaribu kutafuta na kuuliza bila mafanikio,ombi langu endapo utasikia chochote kuhusu hiyo laptop mini aina ya hp tafadhali ni pm,niko tayari kuinunua kutokana na umuhimu wa data zilizopo
ahsante
 
Title imekaa sivyo mkuu,
Hapo hujapoteza,
bali UMEIBIWA!!
 
Back
Top Bottom