Simu aina ya IDEOS with GOOGLE inauzwa sh.Laki na nusu(150,000) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu aina ya IDEOS with GOOGLE inauzwa sh.Laki na nusu(150,000)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Edwin Chapa, Dec 26, 2011.

 1. E

  Edwin Chapa Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simu aina ya IDEOS inatumia laini zote haichagui,unapata betri mbili na chaja yake kwa kiasi cha sh.laki moja na nusu,namba yangu ni 0713542446
   
 2. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kama utakuwa nayo mpaka tarehe 30,ntakutafuta
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ina sifa gani Mkuu? Waweza kuweka picha yake?
   
 4. n

  nndondo JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Ninakushauri usinunue wala kuisogolea simu hiyo bomu inayouzwa na tigo ama safraicom kule kenya, pamoja na kuwa na router ya wifi simu hii itakulazimu uichaji kila baada ya dakika moja na hii sitanii maana mimi ninayo na hivi navyoongea na wewe iko huko kabatini ni kapi maana hata kuigawa siwezi. Huyo anayeuzwa kalizwa kama mimi, tena nimeinunua dukani na karatasi la guarantee lakini kila nilipoenda kulalamika naishia kupewa hadithi na customer care services wajinga walioookotwa barabarani tena bila training, leo watakwambia ulikosea ulipoiwasha kwa mara ya kwanza maana utakua uliiweka kwenye umeme kwa muda mrefu, kesho utamkuta mwingine atakuambia ulipochaji mara ya kwanza hukuiweka kwa muda wa kutosha ili mradi ni utapeli kwa kwenda mbele, nilisikilize, achana nayo kabisa kama nisimu yenye router ongeza hela nunua htc zote ni nzuri sana ama kama mfuko mzuri nenda kwa iphone 4
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Naunga mkono hoja mkuu,ni vimeo hivyo!!!
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Made in wapi???? Maana tunaogopa Mchina
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri.
   
 8. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kanunue vodafone 858 ni noma ni kama hiyo lakini ndo naitumia
   
 9. ALESON

  ALESON New Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana kaka kutujulisha mana wengi tungelizwa hapa!
   
 10. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kudadeki! Hapa mtu kazimwa! Ukiskia biashara ina kimavi ndo hii duh! I love JF
   
Loading...