specifications zake:
HDD ni 320GB, processor ni celeron(R) dual-core CPU T 3300 @2.00GHz, OS ni windows 7, screen ni 15.6 inch. Battery inakaa masaa 4.
Ipo katika hali nzuri,napatikana maeneo ya...
Habari wanajamii!
Nawatafuta watu wenye mitaji ya kuanzia kama milioni 3 hivi tufanye nao biashara.
Biashara yenyewe iko namna hii ni kuzalisha umeme kwa kutumia machine ya kusaga...
I am selling grade one Dewan Cement at Tshs. 13,500 ex warehouse Dar es Salaam.
Ni cement nzuri sana. Wahi mapema ujipatie.
Piga simu number 0763840303 kwa maelezo zaidi.
Wadau natumai mu wazima.
Nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule,jiko, choo na bafu viwe ndani, iwe fenced na geti lake bila kushare, maeneo mazuri yaliyotulia ya...
NYUMBA IPO TABATA MAWENZI KARIBU NA UWANJA WA MPIRA.
BEI NI SHILINGI MILIONI HAMSINI (TZS 50Million)
KWA MAWASILIANO PIGIGA NAMBA:
0716258268,
0715305172 AU
0754286870
hello? naatafuta gari 1969-1979 lolote la kimarekani liwe dodge, ford,camaro or chevy kwa ufupi muscle car.atakama halitembei, boss yupo teyar kuchukua...ilimradi kuwe na papers
Habari zenu wakubwa!
Mzigo mpya wa I pad 3 umeingia, mpya kabisa, zipo kwenye box, both 64GB na 32GB, Black and white unapata zote
karibuni sana
Apple iPad 3, (64GB), Wifi + 3G
TZS...
jamani kuna kiwanja kinauzwa shilingi milioni mia nane na hamsini tu (tshs. 850,000,000/=) mbezi beach umbali mita 300 toka baharini, ukubwa wake ni square meter 5453.
Serious buyer call...
Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook
CHANZO NI UONGOZI WA JF
Habari wana JF!Kiwanja kinauzwa
Eneo:Kibamba CCM
Umbali:1.5km kutoka Morogoro Road
Ukubwa wa kiwanja:20x50 mita
Barabara:Gari linafika mpaka kwenye kiwanja
Bei:12mil Tshs
Hakijapimwa...
habari za hapa jamvini wakuu nahijaji collections tajwa hapo juu kama copy 1,000 kwa anayefanya biashara hiyo naomba ani PM nitatoa namba yangu pale ntakapopata PM yako
HABARI WANAJAMVI?
Leo napenda kuwashauri kuhusu kutumia cctv n surveilance.
cctv and surveilance ni nini?
Hii ni system inayounganisha security camers, na dvr ambapo mtu aneweza kuona maeneo...
Wadau nauliza duka linalouza fomaika jijini Dar,kama kuna anayefahamu tafadhali anipe maelezo ya duka lilipo,hasa nahitaji za rangi nyeupe na pia rangi nyeusi,natanguliza shukrani.