Kiwanja kinauzwa mbezi beach- 300 mita toka baharini

Kiwanja kinauzwa mbezi beach- 300 mita toka baharini

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2008
Posts
1,355
Reaction score
357
jamani kuna kiwanja kinauzwa shilingi milioni mia nane na hamsini tu (tshs. 850,000,000/=) mbezi beach umbali mita 300 toka baharini, ukubwa wake ni square meter 5453.

Serious buyer call

ili kuepuka udalali na utapeli uwe na mawasiliano direct kwenye kiwanja wasiliana na ndg. Sam mwamsamali kwa simu 0713-902903 au 0784-531001 .

Nimeshindwa kusoma kwenye simu yangu rangi mbayaaa
 
jamani kuna kiwanja kinauzwa shilingi milioni mia nane na hamsini tu (tshs. 850,000,000/=) mbezi beach umbali mita 300 toka baharini, ukubwa wake ni square meter 5453.

Serious buyer call

ili kuepuka udalali na utapeli uwe na mawasiliano direct kwenye kiwanja wasiliana na ndg. Sam mwamsamali kwa simu 0713-902903 au 0784-531001
 
Duuh hicho kiwanja au Shamba? sqr mita 5453!

Fair price ukiangalia eneo na ukubwa.. wenye kisu wale nyama
 
Mita 300 tola Baharini si salama sana kwa sasa maana Tsunami zimezidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom