Taarifa muhimu:kutoka uongozi wa jf

So what?

Wewe ni kama nani katika uongozi wa JF?

Watanzania tuwe na lugha safi ya kushukuru nakujibiana vizuri, Tunasifika kwa Ungwana,Adabu,Ucheshi na karimu tulionao, tuache kupotoka na kusahau mila na desituli zetu tafadhaliii... Tumepewa taarifa muhimu haina budi kuelewa na kusukuru sio suala la kuanza kujibizana na kuulizana maswali kama hayo ya sio namsingi, hapendeziii... tubadilikeee...Natanguliza Shukurani za dhati kwa atakaekuwa amenielewa.
 
Uliyosema ni sawa lakini taarifa ili iwe sahihi ni lazima itoke kwa watu sahihi, aliyeleta taarifa alipaswa kujitambulisha kwanza anahusikaje na jf ili tuamini taarifa yake. Unataka tu tushukuru kwa taarifa bila kujua kama taarifa yenewe ni sahihi au si sahihi?
 
Jameni taarifa si imewekwa hapo mwanzo ukifungua JF tu!
 
Back
Top Bottom