Kiwanja kinauzwa mabwe pande

Kiwanja kinauzwa mabwe pande

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Kiwanja cha nusu heka kipo mabwe pande kina minazi, michungwa, n mipera.

Bei million 9 tu.

Kama upo interssted tafadhari ni pm
 
maji na umeme ni umbali gani na huduma zingine?
 
Eka moja mbezi msumi 13m
Hakuna hati,hakujapimwa
 
maji na umeme ni umbali gani na huduma zingine?
Umeme upo karibu kabisa majirani wameweka tayari , maji pia hayapo mbali ila ni ya ku pump
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom