Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Azikiwe, May 2, 2012.

 1. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NYUMBA IPO TABATA MAWENZI KARIBU NA UWANJA WA MPIRA.
  BEI NI SHILINGI MILIONI HAMSINI (TZS 50Million)

  KWA MAWASILIANO PIGIGA NAMBA:

  0716258268,

  0715305172 AU

  0754286870
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  picha...
   
 3. tomoko

  tomoko Senior Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tupe sifa ya hiyo nyumba mf. vyumba 2, 3, ina fence nk
   
 4. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitaleta picha na details zaidi, ingawa unaweza zipata kupitia namba tajwa hapo juu.
   
 5. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nYUMBA HII INA VYUMBA 3 VYA KULALA, SEBULE, DINNING ROOM, JIKO, CHOO, MASTER BEDROOM. KARIBUNI
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  weka picha mkuu,picha huwa zinajieleza vizuri zaidi ya maneno.
  Bei sio mbaya sema picha ingekuwepo ndo ingeshawishi zaidi.
   
 7. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Imefikia wapi katika ujenzi?
   
 8. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Ukubwa wa kiwanja?
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyu si muuzaji wa nyumba bali anatuyeyusha tu. Utauza nyumba bila picha wala maelezo ya kujitosheleza. Kama ni nyumba ya urithi unaficha ili uwawahi wenzako, tumekustukia!
   
Loading...