Nauza bb bold 9700

Yan unategemea kweli huyo mnunuzi atakubaliana/ataamua tu kufanya maamuzi ya kununua hyo simu bila kupewa current condition yake au hata picha? Haya tuma fasta niko interested.
 
Dah nimeshahau simu za Blackberry na Nokia,tokea Samsung washike soko,naona urasimu wa BB wa kutaka kulipia BIS kwa mwezi Tsh 35,000 kupata huduma ya internet au hizo weekly bundle zao kunawakimbiza wengi ,pamoja na kuwa inapokuja swala la emails BB hawana mshindani
 
mkuu tigo service elfu 20 tu kwa mwezi. .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom