Tangazo la Zabuni: VX V8 133 & Mitambo ya Dharura ya Kuzalisha Umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la Zabuni: VX V8 133 & Mitambo ya Dharura ya Kuzalisha Umeme

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Baba_Enock, May 10, 2012.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  1... Zinahitajika haraka VX V8 133

  2... Inahitajika haraka Mitambo ya Dharura ya Kuzalisha Umeme

  PM Baba_Enock kwa maelezo zaidi
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,651
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Hiyo zabuni mbona kesha chukua kaka yake Mwanaasha.
   
 3. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh kwani hawa 133 nao wanatumia VX V8 jaman?
   
 4. t

  tracy wa NJIRO Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kamati hiyo na wakimaliza wanapewa waondoke nayo du
   
 5. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kubwa tusubiri maana ni ajabu wao ni wadharula kila mara hivi zitaisha lini kwa nini hatuna mipango ya miaka hata 50 mbele yetu tunawaza mipango ya miezi au mwaka mapaka lini????????????????????????????
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Daaa,. Zabuni ya ambulance lini itatoka
   
 7. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi hapa ndo sehemu yake?
   
Loading...