Kiwanja kinauzwa kibamba ccm,wahi sasa!!!!

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Habari wana JF!Kiwanja kinauzwa
Eneo:Kibamba CCM
Umbali:1.5km kutoka Morogoro Road
Ukubwa wa kiwanja:20x50 mita
Barabara:Gari linafika mpaka kwenye kiwanja
Bei:12mil Tshs
Hakijapimwa!
Mawasiliano:piga 0652 828320 Vice
Muuzaji:Mwenye kiwanja
Dalali:HATAKIWI!!!!!!
Picha za kiwanja hizi hapa chini:
 

Attachments

  • kiwanja11.JPG
    kiwanja11.JPG
    208 KB · Views: 100
  • kiwanja1.JPG
    kiwanja1.JPG
    231 KB · Views: 92
Mkuu hiyo nyumba inapakana na kiwanja au?
Hapana mkuu,hiyo nyumba ipo nje ya kiwanja hicho kinachouzwa.Nimeamua kupiga picha muone majirani waliopo msijeona kipo porini sana.
Kinauzwa kiwanja tu kilicho mbele ya hiyo nyumba!
 
mnh million kumi na tano nyingi,mie nina sita lol
Haha!6 hailipi mkuu,no offence.Hapo sio porini+bei iliyowekwa hapo ni karibu sawa na bei za viwanja vyote maeneo hayo.Hiyo 20x50 si unapata viwanja 2 vya 20x25 hapo wajameni?
 
Haha!6 hailipi mkuu,no offence.Hapo sio porini+bei iliyowekwa hapo ni karibu sawa na bei za viwanja vyote maeneo hayo.Hiyo 20x50 si unapata viwanja 2 vya 20x25 hapo wajameni?

haya bwana wewe ninyime,ila hayo mahesabu sio sawa ingekuwa 40*50 ndio ingetoka viwili...
 
Pia ukubwa wa kiwanja unatia shaka 20x50ft ni vyumba viwili tu hapo.Ingekua mita sawa.
 
Lol, jf never seize to amaze me. Yaani mtu hata hafanyi research akajua bei halisi then ndo aongeze faida, unpiga tu 15m, halafu eti 20*50ft mwe! Haya yetu macho
 
urefu wa mbao softwood huwa unafikia hadi 20ft sasa sijajua hicho kiwanja ndiyo vipimo halisi hivyo, au ulikuwa unamaanisha 20 by 50 meters
 
Ndugu hiyo bei ni kubwa mno hata kama maelewano yapo umeanzia mbali sana,mie nina 6.5mil.unasemaje!.
 
kipo upande gani ukitokea mbezi! na pia ni 20*50 m! kama ni futi ni kwamba ata nyumba haitoshi kabisa! pia hiyo bei ni kubwa sana kwani kuna jamaa yangu alinunua kiwanja kibamba kwa mangi aka mji mpya ambao ni 0.5 km kutoka moro road chenye ukubwa wa 25*35m kwa mil 6.5 ila sio surveyed! punguza beo tufanye biashara!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom