Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakubwa asalaam aleykum, natumaini mu wazima.ni kawaida yangu kuwajuza kuhusu biashara mbalimbali zinazopatikana hapa mjini nikiwa kama mdau wa jukwaa hili la biashara. kama nilivyo tambulisha...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita. Nyumba ni self contained, ina 3 bed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba linauzwa Mbeya Mjini, maeneo ya Ilomba, ukubwa wa ekari 11, kilometa 2.5 kutoka barabara kuu kwa bei Million 200. Eneo linafaa kwa kujenga shule nk nk Kwa mawasiliano tupigie no. +255...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wadau wanafanya biashara ya Hoteli za Kitalii au Beach. Lipo eneo la Ekari tano lililopo Kikokwe- Pangani. Eneo hilo linaambatana na maeneo yenye Beach za kisasa za Ushongo Hotels (Emayan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
7
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Nokia E52 with earphones and charger,, very good condition, price: 170,000/=,,piga 0716-904626, 0783115545 Specs: CAMERA: 3.2 MP, 2048x1536 pixels, fixed focus, LED flash...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau natafuta nyumba kwa maana sebule kwa ajili ya kupanga sehemu yoyote Morogoro,kodi iwe kati ya 50,000 - 70,000 (kwa vyote chumba na sebule) kwa mwezi,ningependelea kulipa katika mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Blackberry 9900 nyeupe mpya. Bei 750,000/= Sony viao laptop nyeusi ina specs zifuatazo: 6gb 500gb hard disk intel i3 bei 850,000. Kama utahitaji piga 0785 202 202
0 Reactions
0 Replies
766 Views
A rare opportunity to own a parcel of land located just less than 35km from Dar es Salaam city centre and less 25km from the center of Historical Town, Bagamoyo District Council. The land of 8...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vipi kigamboni mwisho wa project ya mji mpya. Kimoja kina ukubwa wa Ekra moja kinauzwa 32m. Kipo mita 100 toka barabara kubwa ya lami. Kingine kina ukubwa wa mita 26 kwa 37 kipo mita 300...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Napatikana Dar, nahitaji mini laptop.. iwe kwenye hali nzuri au if possible nielekezwe sehemu nayoweza pata ya mtumba.. dau langu ni 300,000/= za Kitanganyika..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauza kabati la kioo na aluminium la kudisplay lilikuwa linatumika stationery ni jipya.width 250cm, heigt 125cm.lipo maeneo ya upanga karibu na fire, kama unahitaji piga 0787428754.tuwasiliane
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hii ni kwa wale wote wamiliki wa migahawa na hoteli saizi ya kati pamoja na familia kubwa. Simgas tanzania limited inaweletea kwenu gesi itwaayo 'gesi 2000' hii ni baada ya mafanikio ya miezi 10...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Housing ya toshiba satellite a205 s5801,inahitajika kama unayo please pm
0 Reactions
0 Replies
902 Views
habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Our company is making electric fence system for security purpose more affordable in Tanzania. We also give a warrant of one year after installation. We also deal with CCTV and motional sensor...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
PLease anaejua sehem za kununua housing, full housing za galaxy note please naomba mnisaidie..Will be so greatfull.
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Hello! Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu ipo katika hali nzuri imetumika kwa mwezi mmoja tu gharama yake ni laki mbili na themanini kwa mawasiliaono 0716049450 jr.ceasargeorge@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
aliye tayari kubadilishana ni mpe nokia e71 na hela kwa bb 9360
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Back
Top Bottom