gari inauzwa 5mil ipo katika hali nzuri

dgratius

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
218
11
gari aina ya peugeot salon
iko katika hali nzuri vilevile iko pimped yan imeongezewa vitu kama music system...etc kwa maelezo zaidi wasiliana na no.0719004668
 
Cku nyingine ukitangaza ishu ya gari music usiongele kabisa hapo zungumzia imetembea KM ngapi?engine type?imewahi pata ajali?ni ya mwaka gani?music sio ishu kaka
 
Cku nyingine ukitangaza ishu ya gari music usiongele kabisa hapo zungumzia imetembea KM ngapi?engine type?imewahi pata ajali?ni ya mwaka gani?music sio ishu kaka,rudi uedit hz inforamtion kwaanza utapata wateja!
 
Odometer,
Year,
Accident History,
Displacement,

Basi hata kapicha ka-black & white kangeweza kuhamasisha hii deal!
 
picha inakataa ku upload natumia simu ila gari ni ya 1995,haina accident history... 19,482 kilmeter ni red in colour kama mtu yuko interested ani pm!
 
scrap+car.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom