URGENT:Natafuta Uyoga(Mushrooms)

URGENT:Natafuta Uyoga(Mushrooms)

GAMBLER

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
303
Reaction score
12
Jambo!!
Naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata Mashrooms.Kwanza niliambiwa naweza kupata soko la kisutu, nimeenda hakuna,nikaambiwa jaribu katika supermarket, nina wasiwasi za supermarket hazitakuwa fresh.
 
unahitaji kiasi gani?
 
nikipata kilo kumi, kwa kila wiki
 
UNATAKA uyoga wa nini mkuu?....(mbona mwingi sana?)
 
Jambo!!
Naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata Mashrooms.Kwanza niliambiwa naweza kupata soko la kisutu, nimeenda hakuna,nikaambiwa jaribu katika supermarket, nina wasiwasi za supermarket hazitakuwa fresh.

Unapafahamu TIRDO (Tanzania Industrial Research & Development Organisation) Msasani? Ni pale zilipo ofisi za bodi ya mikopo!

Hawa wanauza uyoga na ni watafiti wa uyoga, vilevile wana contacts kibao za watu wanaolima uyoga, so watembelee, ulizia mama mmoja anaitwa Mamiro!
 
Marehemu Kawawa alikuwa ni mkulima wa uyoga, jaribu kuwasiliana na familia yake au majirani zake aliwafundisha jinsi ya kulima uyoga.
 
Mi ninao ninalima nipo Madale Karibu kuna kituo kinaitwa kwa Mwenyekiti shuka hapo piga
 
Back
Top Bottom