Apartment inapangishwa kinondoni

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Ni apartment ipo floo ya kwanza, ina vyumba 3 kimoja master, public toilet, kitchen,dining, Air condition. tiles ina usalama wa kutosha eneo limezungushiwa ukuta na linausalama mkubwa. bei $ 1200. kwa anayetaka nyumba hii pamoja na nyingine nyingi za kupanga na kununua tuwasiliane 0657145555,0755 099 291,
 
Pia in vyoo vya kisasa sana atakayepata hata juta , hapo mahari ni center ni rahisi kuenda sehemu yoyote hapa mjini
 
Nyumba bado ipo kwa anayehitaji usisite kuniona
 
huku kwetu kishumundu unajenga vyumba vyumba 2 na choo cha shimo kwa hiyo kodi
 
Ni apartment ipo floo ya kwanza, ina vyumba 3 kimoja master, public toilet, kitchen,dining, Air condition. tiles ina usalama wa kutosha eneo limezungushiwa ukuta na linausalama mkubwa. bei $ 1200. kwa anayetaka nyumba hii pamoja na nyingine nyingi za kupanga na kununua tuwasiliane 0657145555,0755 099 291,

Fully furnished au ni ya kuleta vitu ndani? I think for that price it has to be fully furnished unless you prove me otherwise
 
Fully furnished au ni ya kuleta vitu ndani? I think for that price it has to be fully furnished unless you prove me otherwise
Yap its full furnished but kuna vitu baadhi unaweza kuongeza kama ukihitaji asante sana, hiyo sehemu ni nzuri na ina usalama mkubwa.
 
Hii nyumba bado haijapata mpangaji na kuna nyingine ipo mkabala na leaders club bei ni $ 1000
 
Mie nataka nyumba yenye chumba kimoja tu cha kulala kwa miezi sita...bei isizidi laki 9 kwa mwezi...
pawe na furnitures...
 
Mie nataka nyumba yenye chumba kimoja tu cha kulala kwa miezi sita...bei isizidi laki 9 kwa mwezi...
pawe na furnitures...
Zipo kaka bt ni zilizo nyingi wanataka $ pia zilizo nyingi ni chumba master na sitting room jiko , nk . hizo za chumba kimoja 2 zipo chache sana . ukiwa tayari nitafute .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom