Kuna yeyote anayefahamu hawa dealers wa hizi pikipiki za Honda Ace wako wapi?
2012 Honda Ace CB125 and Ace CB125-D – $627 Motorcycles for African Market | Motorcycle.com News
Txup ma brethren n ccstas tc ma hp dat al of u your are cool.Am teking dc opportunity 2 anounce dat am selling a vehicle a kind of pickup hilux mashavu any one in need of it u can consult...
Kipo Mbezi Beach maeneo ya Tangi Bovu. Kipo upande wa kulia ukiwa unatokea Mwenge unaelekea Tegeta. Kipo ndani ya fence. Umeme na maji vinapatikana. Choo kipo kwa nje. Mazingira safi. Kodi 70,000...
habari wadau,
kama kuna anayewafahamu wanaotengeneza Tshirt za pure organic cotton naomba link yao, kwa maana ya website tafadhali. kampuni iwe Tanzania.
asante sana
Habari zenu wakuu!ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja...
Ni UPS nzuri ambayo imetengenezwa na kampuni ya APC, mwenye kuihitaji bei ni maelewano tu
Inapatikana maeneo ya Mbezi beach na kwa mawasliano zaidi tumia frankgodlisten@yahoo.com au tuma sms kwa...
shamba ekari moja kwa bei ya million 5 maelewano yapo, lipo kibaha kwa mathias karibu na makao makuu ya chuo kikuu huria au open university, panaitwa viziwaziwa, ni umbali wa kama kilometre 4 toka...
Wakuu mimi si Dalali, ila kuna Mashamba na Viwanja WAMASAI WANAUZA KWA KASI YA KUTISHA ENEO LA KISONGO NA WAO KUKIMBILA HANDENI MKOANI TANGA, so kwa anaye hitaji mimi naweza mpeleka kwa mwenye...
Jamani tuna nyumba nyingi sana za kuuza hapa Dar es Salaam. hasa maeneo ya kinondoni, tabata, tegeta, makumbusho , mwananyamala mwenge na kijitonyama. kuna zaidi ya nyumba 100. bei zimeanzia 20m...
Ashden, the sustainable energy organization, is calling for applications for the 2013 Ashden Awards. They are looking for initiatives that are improving and increasing access of renewable...
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
Wadau naomba mnipe ushauri na a way forward.
Mimi ni graduate ila si engineer ingawa nimefanya mambo ya construction pale UCLAS. Nimesajili kampuni ya contractors BREla sasa nataka kwenda CRB...
I posted this advert days ago
Hermes Power Inc: COCA COCA ADVERT, IS IT FARE FOR AFRICAN?
Then it appeared with translation on michuzi
Africa should think before others think
MICHUZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.