Mpd

gorretti54

Member
Jun 21, 2012
53
17
FOREVER ALOE MPD


  • Ni sabuni inayoweza kutumiwa kwa ajili ya kusafisha na kuua vijidudu
  • Ina matumizi ya kusafisha vitu vingi, ikiwemo ; kufualia nguo, kuoshea vyombo ,kudekia sakafuni, kusafisha masinki ,mabafu , kapeti na marumaru(tiles).
  • Husafisha vyombo vizuri na kuviacha vinang’aa na kuzuia sinki lisizibe na mafuta.
  • Husafisha grisi , huondoa madoa na haikwangui sakafu wala kuchubua mikono.
  • MPD haina phosphorus na ni rafiki wa mazingira
  • Ina aloe vera hivyo hulainisha mikono na nguo
  • Kwa kufulia-tumia 30ml kwa nguo za wastani, unaweka kiasi kidogo moja kwa moja kwenye madoa, ongeza maji na loweka kabla ya kufua.
  • Kwa matmizi mengine kama kusafisha sakafu, gari-changanya 60ml na lita tano za maji safi.
  • Hutumika kwa muda mrefu kwa sababu ni kiasi kidogo tu cha Forever Aloe MPD ndiyo huchanganywa na maji katika matumizi mbalimbali*.

Every week we use multiple detergents for cleaning. Wouldn’t it be nice to buy just one multi-purpose product for the laundry, dishes, floor, and even the bathroom? Forever Living Products has introduced such a product – a liquid detergent that is highly effective and very economical to use.

Forever Aloe MPD® is a multi-purpose, liquid concentrated detergent created by FLP - and we’ve just made it better than ever! Our 2X Ultra formula is even more concentrated to take your cleaning that much further. A versatile cleaning product that is ideal for laundry (all types of clothes), it is also a household cleaner for floors, bathrooms, tile and carpet cleaning, and for hand-washing dishes. This safe, concentrated, liquid detergent is great for lifting grime, cutting through grease and removing stains without scratching or marking any surfaces. It is versatile enough to do the job of many similar products on the market, with a major cost savings for the user.

Forever Aloe MPD® 2X Ultra is phosphorus-free, making it environmentally friendly. Unlike many detergents, its anionic and non-ionic surfactants are biodegradable, thus reducing environmental and water pollution. Our non-abrasive formula contains mild aloe vera to soften and condition your hands and clothes. This revolutionary, multi-purpose cleaner is available only through Forever Living Products

  • Multi-purpose, 2X concentrated cleaner
  • Phosphorus-free
  • Environmentally-friendly, biodegradable ingredients
  • Mild, gentle formula is kind to hands and clothes
    Note: Not for use in automatic dishwashers
Biddha hii utaletewa popote pale ulipo ndani ya Dar es salaamTsh 40,000/-
Mobile: 0783 454523
0769 888605


Email: gorretti54@gmail.com

Forever Aloe MPD.jpg forever_aloe_mpd.jpg

 
Back
Top Bottom