Gari hili bado halijauzwa na Engine yake ni 2.0L, NILISEMA HALIJAWAHI KUTUMIKA Tanzania kwa maana kwamba silitumii kuzungukia tangia liingie, umeliona hayo maeneo kwasababu ndiko linakokuwa ni vyema kama unalihitaji ukaja kuliona mwenyewe.
Gari hili ni manual na limetengenezwa Japan, ila lilinunuliwa kutoka UK. Gari hizi kwa wasiojua ni ngumu sana hasa zile zinazopitia UK kwasababu ya viwango vyao vya ukaguzi wa magari kuwa juu sana labda kuliko nchi nyingine yoyote duniani hawa wazungu wanayajua magari hivyo chochote kinachoingia huko kwao wanahakikisha kina ubora wa hali ya juu,tofauti na haya magari tunayonunua moja kwa moja kutoka Japan ukweli hutaweza kufananisha na gari linaloenda moja kwa moja kwenye ulimwengu wa tatu na gari la nchi zilizoendelea, sijui kama naeleweka hapa.