Mjumbe Hauawi

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,467
29,167
Wadau,
Nimepokea SMS kutoka kwa namba moja hivi nisiyoitambua. Ujumbe wenyewe huu hapa chini.


Unakaribishwa kwenye mkutano wa kujitambua, kuelimika jinsi ya kuboresha maisha na kuachana na umasikini, mkutano utaendeshwa na MR KEVIN MOORE kutoka 4LIFE USA, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifutazo 0718797911/0717428620 njoo m a wenzako , tarehe 15.07.2012 jumapili, saa nane na nusu mchana, hutakaofanyika kebbys hotel, kituo cha itv, mwenge, hakuna malipo yoyote kila kitu bure, karibuni sana
 
Du angalia ndugu yangu tena mkutano wenyewe unafanyikia hotelini hahahaha mimi simo, wapigie kwanza hao jamaa uwajue vizuri wasije wakaku-Ulimboka bure ndugu yangu
 
Back
Top Bottom