Kaye sms ni kampuni inayouza mda wa hewani wa meseji (sms)<br>kama wewe ni mmiliki wa internet cafe au unafanya kazi internet cafe au yeyote yule na ungependa kufanya biashara nasi nafasi ndio...
iPhone 4S white, Factory Unlocked and 32GB Capacity, white color, used for 7weeks, with screen protectors back and front, leather case, USB Cable and Power Adapter (Apple), with earphones for...
inatafutwa nyumba yenye vyumba 2 au 3, sebule, jiko na choo cha ndani. iwe na kiwanja chenye nafasi ya kuingiza gari/ magari maeneo ya ubungo riverside, mabibo na mabibo external iwe karibu na...
Hbr wakuu,
Nimeombwa na ndugu yangu kumpositia taarifa hii. Anauza gari Mitsubishi Fuso ya mwaka 1994 model FK618J (Heavy load Vehicle - Tani 10). Ipokwenye hari nzuri but inahitaji service. Bei...
Gari aina ya Suzuki Carry zinauzwa, zipo pieces 10, zimeingia nchini kutokea Japan, zimelipiwa kila kitu mpaka registration, kuweka specification ya zote kwa mtindo wa moja moja ni ngumu Ila kwa...
Ninahitaji kiwanja morogoro au tanga
Naomba kiwe kikubwa kidogo size kama 35 kwa 40 au zaidi. Bei utaniambia lakin usisahau na size yake.
Kama unacho kidogo pia niPM.
PM ningependelea zaidi...
Natafuta fundi cherehani mwenye uwezo kushona nguo aina zote ikiwa ni pamoja na kudarizi
Anatafutwa ili ampatie mdogo wangu uzoefu baada ya kumaliza shule ya kushona.
Atanufaika kwa nini?
1...
Habari,
inatafutwa nyumba au vyumba kwa ajili ya kupanga,chumba cha kulala,sebule jiko na choo,maji ya uhakika na parking,maeneo ni sinza,survey,mwenge,makumbusho,kijitonyama na morroco,tafadhali...
Libeneke la Globu ya Jamii
MICHUZI
Home
View web version
Thursday, 24 May 2012
Hallow uncle,
Nimeokota vyeti vya Goima
Peter Mwamwingila na sijui
ntamfikishiaje huyu jamaa
maana hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.