Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mambo vipi wakuu nilikuwa nahitaji kujua kuhusu issue ya kununua gari kwa mkopo, ambayo ni used je ni kampuni gani au kama mtu binafsi yupo na anaweza tufanye biashara kwa system hiyo naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wa JF, Naomba kujuzwa kama kuna mawakala wa Beforward(Wauza magari) hapa Tanzania. Aksanten
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu ninatafuta machine ya kukata nyama (Bones cutter machine) kwa ajili ya butcher langu. Ninaihitaji sana. Hivyo kama kuna mtu anauza au kama kuna mtu anajua zinapouzwa hada dar naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nadhani kichwa cha habari kimejimegea vya kutosha... ninakupa product ya TANZANIA na kwa bei safi! achana na product za CHINA ambazo ni nyepesi kama chandarua...! karibuni wadau... wadada...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kujuzwa exactly bei ya ushuru(total taxes) ya kuingiza gari tajwa hapo juu kwa mtu ambaye ameingiza na sio hyo ya kukokotoa kwenye Exel sheets maana tanzania taasisi zake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji Samsung tablet, used but on good condition... Size yoyote.
0 Reactions
0 Replies
812 Views
wana JF natafuta gari NISSAN XTRAIL iwe ni ya mwaka 2002/2003 bei iwe nzuri tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello everyone, We’re running a slogan writing contest for a games website and looking for a catchy and motivating tag line. Check out the website theme to get idea of what it should be...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza viwanja 20 x 20 kitonga dar es salaam bei 2000000/= kila kimoja. havijapimwa vinavikika kwa barabara na ni tambarare 0754 571000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza printer nimeitumia kama mwezi mmoja, bado ni nzima vya kutosha, ni HP inkjet A1050 inafanya kazi 3 kwa pamoja ambazo ni: Printing, Scanning na Photocopying. ​Anayeitaka ani-PM nipo dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Creative PLUS is a reliable Web Development, Website Design, Web Hosting and SEO services company in Tanzania providing professional website designing, custom web development, ethical search...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
I have a brand new blackbery storm 1. been usin it for a short tym nw i wana push t to u. ts cheap n for u.
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Hi wana JF wote, Natafuta wanunuzi kuni za jumla. Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni. Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Ninauza viwanja 6 vya ukubwa wa mita 20 x 20 bei 2,000,000/= kila kimoja. Viko sehemu moja namba yangu 0754571000 au 0784551259 ni maeneo ya kitonga ukitoka mbagala unapita chamazi msongola...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza office storage cabinet(steel) aina ya lecco,kwa anayehitaji ani Pm
0 Reactions
0 Replies
973 Views
ipo buguruni karibu na reli iendayo ubungo ina nafasi kama ya mita 5o kwa 25 bei mil 35o ni pm upewe namba ya simu nipale barabara ya mnyamani
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa matatizo yote ya laptop tembelea www.laptoclinic co.tz Unaweza kuwasiliana nasi kupitia: Support Department 44 Ursino South Estate Uporoto street Behind Victoria Petrol Station Dar es...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenye uhitaji na hiyo kitu ani pm fasta
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kuna nokia E72 kwa 160000 na samsung corby GT-B3410 kwa 150000.. all these are used and they are both in good condition..0715425054(texts only)
0 Reactions
1 Replies
832 Views
habari wana MMU Natafuta mahali ambapo naweza kununua cd empty na za movies + gospel music vilevile na vifaa vya simu km makava chargerz n.k kwa bei ya jumla.km una access yeyote naomba uni PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom