Kiwanja kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by solon, Jul 7, 2012.

 1. s

  solon Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja chenye size 30m kwa 30m kinauzwa kipo tabata kinyerezi na bei yake ni shs Ths.22mill na kipo umbali wa kilomita moja kutoka barabara kuu

  mawasiliano; 0783422874
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi nijuavyo Arusha ndiyo viwanja bei ghali sana lakini kiwanja hicho mkuu bei ni kubwa mno kulinganisha na ukubwa mahali kilichopo,

  Labda ingekuwa 6ml watu angalau lakini 22ml!!!! Anyway kama mimi sina pesa nisiwasemee na wengine!!!!!
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  wewe hujui bei ya viwanja. hasa kinyerezi. niulize mimi cha kwangu sqmetre 700 nimenunua kwa ngapi huko kinyerez
   
 4. l

  leamashina Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du! natamani hicho kiwanja lakini bei imenishinda chalii wangu. Ungesema millioni 8 kweli ningekutafuta.
   
Loading...