Kiwanja kinauzwa kitonga ukonga dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa kitonga ukonga dar es salaam

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mama-m, Jul 16, 2012.

 1. m

  mama-m New Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninauza viwanja 6 vya ukubwa wa mita 20 x 20 bei 2,000,000/= kila kimoja. Viko sehemu moja namba yangu 0754571000 au 0784551259
  ni maeneo ya kitonga ukitoka mbagala unapita chamazi msongola halafu kitonga. Unaweza kupitia barabara ya pugu chanika mvuti then kitonga. Ni kilometa 25 toka kariakoo. Kilometa 11 toka mbagala. Barabara inafika. Ni kilometa 2 toka barabara ya lami ya kutoka mbagala kwenda mvuti
   
 2. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Simba hakuna huko! na kilimo gani kinastahili huko porini
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mi nilifikiri kitonga mlimani nikutumie mkwanja sasa hivi.
  nataka kufungua hoteli pale.
   
Loading...