Habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho MiFi kutoka Marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya...
800 x 600 resolution.
Brightness 30 lumens.
Contrast ratio 500:1.
Suitable for screens up to 80in.
2 x 0.3 watt speaker.
Power saving facility.
Connectivity:
VGA, composite, PC audio...
ipo tabata segerea chama bei 120mil ina frems 5 za biashara kwa mbele na ndani kuna wapangaji
kwa anayetaka ni free kuona na kukutana na mwenye nyumba.dalali hatakiwi
contact
0714812375
geti kuu...
Viwanja vinauzwa vimepimwa na kuwekwa mawe. vipo gezaulole km 11 kutoka feri .
SQM 825 BEI 22M, SQM 798,BEI 20M NA SQM 795 BEI 20 viwanja hv vinafuatana hivyo mtu mmoja anaweza nunua vyote na...
Wadau viwanja vingi vilivyopimwa katika maeneo ya kigamboni , mabwepande , bunju A. na salasala
kiwanja nilichokija hapo juu. kipo amani gomvu. km 17 kutoka feri . ukifika nja panda ya mji mwema...
Hakipo mbali na barabara ni mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. bei ni 23m kimepimwa na kimewekwa mawe. tuwasiliane 0657145555, au 0778 625039, 0755 099 291 na 0686 200 117. karibu
Anaejua wapi naweza kuwaona mawakala wa hii co tz
au namba zao za simu
please msaada
hiini kampuni ya South Africa
nimewahi ona magari yao barabarani
natafuta ofisi zao
Three bedroomed house for rent in Changanyikeni (Nearby University of Dar es salaam) US$650PMBathrooms : 1Bedrooms : 3Location: Changanyikeni (University Area), Dar-es-SalaamLiving (Sitting...
Im leaving Arusha after my job contract ends this July 31. I will be selling the following things:
Samsung fridge - Tshs. 1ml
Sofa set (3+1+1) - Tshs. 400,000/= all
Manji's gas cylinder (15kg) -...
Zimeingia tena ni mpya ndani ya Box,zina instruction manuals zake,zinatumia umeme na zina option ya Solar power(included),wahi ziko chache kama una hitaji ni pm.
Heshima kwenu wakuu,
Tafadhari naombeni kwa anayejuwa ni wapi au kampuni ipi wanahitaji mtafsiri wa lugha ya kiitaliano, mimi ni mzungumzaji na mwandishi mzuri katika lugha hiyo.
naomba kuwasilisha
Kipo maeneo ya Buyuni kuelekea Chanika. Kina ukubwa wa mita za mraba 670. kimepimwa na kina hati miliki. Maeneo yote yanayozunguka kiwanja yamepimwa na yamepangiliwa vizuri. Bei ya kuuzia 6.5mil...
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.