Natafuta machine ya kukata nyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta machine ya kukata nyama

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mazengo, Jul 17, 2012.

 1. Mazengo

  Mazengo Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Wakuu ninatafuta machine ya kukata nyama (Bones cutter machine) kwa ajili ya butcher langu. Ninaihitaji sana. Hivyo kama kuna mtu anauza au kama kuna mtu anajua zinapouzwa hada dar naomba anijulishe kwa kuni-PM. Thanks!
   
Loading...