Nissan xtrail inatakiwa

Watu wa JF ni wazushi sana kwenye biashara,wanaweka matangazo ili mradi waweke mitego kwa mabinti wa JF,acheni hizo jamani!!! Mwenye kutaka gari hawezi akapost vitu nusu nusu namna hii kuweni serious jamani!! Nissan X-trail ya rangi gani? Je bajeti yako ipo vipi? We ni dalali au mnunuzi?
 
inaonekana dadako anagongwa sana na wenye magari angalia usijemzika
 
Nyie ndio mnaoaribu JF,mwenye kutaka gari hawezi kuja kishallow shallow namna hii,acha hizo kudanganya mabinti wa JF,maana baadae utaanzisha uzi kule MMU unatafuta Girlfriend lol ushastukiwa Haaaaaaaaaaaaaa
 
Ebwana kumbe ndo gia zao siku hizi. Duh kweli watu wabunifu.
 
Back
Top Bottom