Gari kwa mkopo (cars sold on credit)

survivor03

Senior Member
Jan 10, 2012
131
21
Mambo vipi wakuu
nilikuwa nahitaji kujua kuhusu issue ya kununua gari kwa mkopo, ambayo ni used
je ni kampuni gani au kama mtu binafsi yupo na anaweza tufanye biashara kwa system hiyo
naomba mnijulishe ahsanteni.
 
Back
Top Bottom