Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

laptop acer... duo processor. , hhd 80gb.... bei 200000/= sababu kioo kimezingua
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu,mimi ni kijana mdau wa graphics.Nadesign logo,banners,websites,images...na kazi zangu ni za haraka na uhakika.Kwa wale mtakaohitaji logo ama nembo za biashara zenu msisite kuwasiliana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
slightly used and they are both in good condition. nokia 5230 for 160,000/=, while C6-00 goes for 280,000/=. only serious buyers contact me on 0755 869 966
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji mtu mwenye mashine au video graber toka kwenye Dv Tapes to Digital coz mashine yangu mbovu na nina Tapes 6 nataka kuextract videos ili niwezefanya editing.Naomba bei kwa tape na...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Habari wakuu, Niko nauza playstation 2,used for 2 months,iko na cds 2 za games -bei 250. pia nauza ipad 2 white ,without 3g,iko na wireless router which can be hooked with any chip,bluetooth...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa wale wenye idea na magari, ninataka gari inayoweza kwenda rough road na iwe ya bei cheap nikaona range rover (1997-1999) iko cheap CIF, ila bado sijajua ushuru wake. Ushauri naoumba ni kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
laptop inauzwa ni dell latitude d620. hdd 80gb, ram 2gb proce 12 centrino duo, bluetooth wifi. bei laki 4 tu. no maongezi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi nauza hii kitu (Ups) APC , L-R1250 Ya philipine. Mwenye kuhitaji tu, anitafute.
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Hi guys naomba ushauri me navipenda sana hivyo vigari toyota liteace or townace zile ndogo before noah, naomba ubora wake na madhaifu yake na kibongo bongo naweza kupata wapi na kwa kiasi gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Host your website with us and GET FREE DOMAIN! .com, .net, .org,.mobi, .info. 7500 Free Website Templates(joomla,css,wordpress) Tsh 50,000/= Contact: Arusha complex city 3rd Floor, Room no 21...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Host your website with us and GET FREE DOMAIN! .com, .net, .org,.mobi, .info. 7500 Free Website Templates(joomla,css,wordpress) Tsh 50,000/= Contact: Arusha complex city 3rd Floor, Room no 21 USA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu
2 Reactions
4 Replies
1K Views
ASALI ni dawa nzuri sana jamani, nauza asali nzuri na kwa bei nafuu, kwa yeyote anayehitaji naomba tuwasiliane wandugu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
OS Name Microsoft Windows 7 Ultimate Processor Intel(R) Core(TM) i5 CPU M 460 @ 2.53GHz, 2534 Mhz, 2 Core(s), 4 Logical Processor(s) Locale United States...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nipokeeni wajameni kwani mi ni mgeni pande hizi !!
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Pm me 4 more details! price 240,000/-
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Hello wana jamii, Natafuta nyumba maeneo ya sinza, mwenge, survey au kijitonyama...iwe na vyumba viwili au vitatu, sebule, jiko ofcourse na bathrooms. budget ni around 300,000Tsh Mawasilino...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
IPO PEMBEZONI MWA BARABARA YA TABATA SEGEREA KITUO CHA CCM chama segerea ina frems 5 za biashara kwa mbele na ndani wanakaa wapangaji bei ni 120mil pia kuna maelewano. contacts 0714812375...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natafuta nyumba kwa maana sebule kwa ajili ya kupanga sehemu yoyote Morogoro,kodi iwe kati ya 50,000 - 70,000 (kwa vyote chumba na sebule) kwa mwezi,ningependelea kulipa katika mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom