Ninafanya biashara ya VEST 100% cotton...tsh5000

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Nadhani kichwa cha habari kimejimegea vya kutosha...
ninakupa product ya TANZANIA na kwa bei safi!
achana na product za CHINA ambazo ni nyepesi kama chandarua...!

karibuni wadau...

wadada ni wakati wakumpendezesha baba/kaka yako/mume/boyfriend wako!

NB:JUKWAA LA MATANGAZO NA BIASHARA NALIJUA,HAPA NIMELETA KWAKUA NINA WADAU WANGU WA CC KIBAO HUMU...PM MIMI KWA KUNIPA ORDER!
 
nani umuuzie kaushi used???kikaushi kimechoka matundu kibwena,cheupe ila kwenye maeneo ya kwapa kina rangi ya udongo.
 
sidiria zipo...unataka?...
pia kuna yale mata* o bandia!...nilisahau.

Ok nitakuwasili , bt hayo mata*o bandia yana demand sana Singida, huku nilipo si unajua Misangara wanayoila inawafanya wajazie kiasi wanahitaji deduction instead of additional !
 
mkopo amehama!...wabongo ndio mnaokwamishana wenyewe kwa wenyewe!...huko nilikotoa nimenunua,afu ww nikukopeshe...pacha?

Wabongo wanakopa hadi ndomu !!
Mchele na unga itakuaje!
Mtu anawekesha poni simu ya mkononi apewe chumba shottym! Bidii yote yanini sindwa kusangaa!
 
Wabongo wanakopa hadi ndomu !!
Mchele na unga itakuaje!
Mtu anawekesha poni simu ya mkononi apewe chumba shottym! Bidii yote yanini sindwa kusangaa!

haha...braza umeua...
wanakopa hadi mbuny* sasa!
 
mkopo amehama!...wabongo ndio mnaokwamishana wenyewe kwa wenyewe!...huko nilikotoa nimenunua,afu ww nikukopeshe...pacha?

Acha ubwege. Biashara gan icyo na mgomo we mmachnga? Naja jion kuchukua. Weka number yako hapa fasta nikuchek
 
Back
Top Bottom