KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
ipo buguruni karibu na reli iendayo ubungo ina nafasi kama ya mita 5o kwa 25 bei mil 35o ni pm upewe namba ya simu nipale barabara ya mnyamani
Kwa hiyo ipo kwenye road reserve?
Sidhani kama una hizo mil 35o labda kama unataka kujaza au kuleta malumbano tu we nenda chanika au mbezi mambepande utapata hadi mil 5
wewe mwenye nayo hyo mil 350 inunue mwenyewe hyo nyumba, na kama unawajua hao wenye mil 350 si uwatumie PM kuliko kuweka advert public ilhal unawajua hao wenye mil 350. Unashida halafu unaleta jeuri.? Ebooo.
sijui ni lini watu watajifunza namna bora ya kufanya biashara na kupromote bidhaa zao wanazoziuza.
Kwani unapofungua duka unategemea wateja waingiao wote watanunua wengne ni vichaa wanataka malumbano kama ww na huyo posta wa upuuzi hapo juu na kifupi sina shida ya hela nina shida ya vp zitaongezeka.
kama huna shida ya hela kaa kimya na utoe tangazo lako. Na infact cpo hapa kwa malumbano na sina shida na hyo nyumba. Lakn jibu ulotumia si la kistaarabu kwa mfanyabiashara anayeuza bidhaa yake na usikute wewe ni dalali tuu hata gharama halisi ya nyumba hujui. unaijua nyumba ya mil 350 inavyokuwa ama umekurupuka na kuropoka mil 350.? Ipe hela thaman yake bwana.

Hujielewi na hujitambui!
Hujielewi na hujitambui!
Umenikela sana kuna mbwa mmoja kama ww aliniambiaga mavi kama hayo nilichomwambia ajipime Msiwalazimishiege watu ban
Wewe ridhika na jibu moja tu nakuheshimu unapomwambia mtu ambae hata anaweza kukujibu kuwa nakuheshimu jipime ndugu yangu
Hizi bei unaweza kukuta zinalingana na za kule Newyork Marekani.
ndani ya hii nyumba lazima itakuwa imejaa matusi na lugha za kebehi kama mleta mada ..... ati anasema hana shida ya hela .... itoe bure hiyo nyumba basi kama huna shida ya pesa
very narrow thinking