Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

salam wanandugu! nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu vya kulala. Maeneo ya Sinza itakua vyema zaidi na isiwe mbali sana na barabara. Msaada wenu jaman nahitaji...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Suzuki Escudo, 4WD,Manual transmission, 3 doors,Year of Manufacture 1997,Registered in TZ in 2005, Engine Capacity 1590, blue in color in an excellent condition is on Sale. The car has been under...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF! kiwanja kinauzwa bunju b kipo kwenye eneo zuri lililojengeka kwa mpangilio mzuri maji na umeme vipo, ukubwa wa kiwanja ni mita 40 kwa mita 30, bei yake ni ml.5 kwa anayehitaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza RAV 4-short Chasis, ya mwaka 1998, metalic blue in colour, imeingizwa inchini na kuanza kutumika mwezi April 2012. Imelipiwa kodi zote. Kama vp nicheki kwa namba 0713-632526.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
mwenye anabolic steroids please pm me the price and contact.,this is seriously needed urgently
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Zote ni 16 GB bila kusahau Nokia c6 slide up laki 3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye universal moderm{moderm inayotumia lain zote} tuwasiliane kwenye 0715812160.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipo madale maendeleo,kipo karibu na shule ya sekondari maendeleo ukubwa 30x30 bei Ml.6,500,000 hakijapimwa ni cha uhakika, serious buyers only wasiliana no 0713069631 Sent from my BlackBerry...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bei Tshs. 600,000
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Bei ni TSH 160,000/= or 100usd In excellent condition, like new! come with box , charger, usb cable, user manual, cd Serious buyer send private messsage to me or call 0714 345958 / 0752 858693...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salaam wanajamii! kuna eneo la beach linauzwa lipo beach nunge plot no.39 bagamoyo. eneo lina hati na ukubwa wa hecta 3.424. ni eneo zuri linalofaa kwa makazi, hotel, shule/chuo na appartiments...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni nyumba nzuri ya familia. Ina vyumba vinne (4) vya kulala. Ina uzio/fensi ya miti aina ya miti. maji yapo, barabara hadi ndani na kuna parking ya gari moja. eneo lina ukubwa wa medium...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF habari za jumapili nauza kiwanja kipo maeneo ya kinzudi B. umbali wa kilomita 6 kutoka africana na kilomita 7 kutoka mbuyuni. kiwanja kina ukubwa wa 20x20 kiko sehemu nzuri tambarare mitaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni samsung, Screen touch, black color, iko na earphone yake, haina tatizo. nauza bei ya kutupa ambayo ni 100,000/=, nauza ili niongeze mfuko na kununua nokia e71, au samsung chat on 222 dabo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gari ni mark II GR, injini iwe FOUR S kuanzia namba A. Just call 0713532322 kama unayo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
khabari wana JF! kuna eneo zuri lililoandaliwa kwa ajiri ya gereji linauzwa eneo lipo tegeta magereji lina hati ya pamoja ukubwa wake ni mita 35 kwa mita30 eneo lina frem 4mbele ambazo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji fremu moja ya biashara eneo la manzese, ubungo, riverside, mwenge, mbezi louis,kariakoo......ni PM kwa bei....inatakiwa haraka!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi,Wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta kazi nimekosa so nimeamua kujiajiri na kamtaji kidogo.Naomba kama kuna mtu mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi,wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta ajira nimekosa so nimeamua kujiajiri na kimtaji kidogo.Naomba mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane 0715/0755 200221...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajf. Nauliwa wapi naweza kununua decoder za ting? Maajent wake wanapatikana wapi na kama kuna mtu ana namba naomba
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…