Viwanja vya bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vya bei nafuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 14, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF! kiwanja kinauzwa bunju b kipo kwenye eneo zuri lililojengeka kwa mpangilio mzuri maji na umeme vipo, ukubwa wa kiwanja ni mita 40 kwa mita 30, bei yake ni ml.5 kwa anayehitaji piga 0714107215 au 0714104788
   
 2. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,696
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kina hati au ni mambo ya kuanza kwenda kupima.?.au unajenga unaambiwa ni eneo la bahari kupumulia. Please ongeza maelezo!!
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mhhh huko kila siku tunaona maugomvi na kesi zisizoisha anyway tuambie kama tayari kina hati basi maana wanaolia kwa kutapeliwa viwanja vya maeneo ya Bunju,Tegeta na Boko watu wengi sana hapa Dar
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  40*30 bunju 5m!?
   
 5. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Title "VIWANJA" ndani kiwanja.
   
 6. dkims

  dkims Senior Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  bunja au kiharaka bagamoyo?? 5mil????
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kwa bei hiyo Bunju siamini sana labda tuseme mwenye nacho ana shida ya haraka
  isije kuwa mambo ya kuuzina kiwanja ndani ya kiwanja. double allocation
   
 8. L

  LadySwa Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Bunju hakuna kiwanja cha mil.5 asikudanganye mtu
   
 9. K

  Kariba1 Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiwanja kipo hakina tittle deed anayeuza anauza kwa shida na hakuna mambo ya utapeli au double allocation.
   
 10. n

  nasri Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  bunju b sehemu gani, karibu na nini na ni upande gani toka tegeta, umbali gani toka barabara ya lami!
   
Loading...