Samsung - s5233 inauzwa.

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
Ni samsung, Screen touch, black color, iko na earphone yake, haina tatizo. nauza bei ya kutupa ambayo ni 100,000/=, nauza ili niongeze mfuko na kununua nokia e71, au samsung chat on 222 dabo laini, au nokia asha yoyote ile. Contact: 0655-408239.
 
dah nimependa muda inayokaa na chaji bro hiyo sentensi ungeongeza neno "kutokana na matumizi yako'"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom