Nauza RAV 4-short Chasis, ya mwaka 1998, metalic blue in colour, imeingizwa inchini na kuanza kutumika mwezi April 2012. Imelipiwa kodi zote. Kama vp nicheki kwa namba 0713-632526.
weka tangazo linalojitosheleza kiongozi!ukiambatanisha picha,bei hali ya gari na vile vyote unavyo fikiri wewe ungependa kuvijua kabla ya kununua gari!
Picha hiyo imepigwa kabla ya kufungwa namba za Tanzania, namba inayoonekana kwenye picha hiyo ni ya Japan.Gari hiyo ina rangi ya metalic blue (dark). Bei ni kama nilivyotaja awali yaani Tshs 13,000,000/=.

Hebu piga picha baada ya kufunga plate namba za tz. Ama unaishi japani mkuu? maana hayo majengo tz hayapo. Kama utakuwa serious mi offer yangu ni tzs 10,000,000.00
Wadau naomba niwafahamishe kuwa sikukimbia bali nilikuwa na mishe mishe nyingine hvyo sikupata muda wa kuipiga picha. Hata hivyo kwa mwenye nia ya dhati picha hizi hapa japo zimepigwa muda wa jioni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.