Kununua decoder za ting

Kununua decoder za ting

julisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
209
Reaction score
50
Habari wanajf. Nauliwa wapi naweza kununua decoder za ting?

Maajent wake wanapatikana wapi na kama kuna mtu ana namba naomba
 
Hivi hawa Ting bado wapo?kama walifungiwa vile!ngoja waje wadau watujuze
 
Back
Top Bottom