Nyumba inauzwa tegeta- (basi haya)

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Ni nyumba nzuri ya familia.
Ina vyumba vinne (4) vya kulala.
Ina uzio/fensi ya miti aina ya miti.
maji yapo,
barabara hadi ndani na kuna parking ya gari moja.

eneo lina ukubwa wa medium size/ujazo wa kati.nyumba ipo km moja kutoka bagamoyo road.

BEI NI MILIONI 90.

kwa mawasiliano piga simu no.0658877349 /// 0764877349

Karibuni sana
 
Asante mdau
 
Kwa umagamba wako utautwanga mbichi
 
naona umepost pasipo stahili,hili ni jukwaa la siasa na sio biashara,back to home then repost ur nyumba inauzwa kwenye biashara tuliopo humu tumeshajenga.,
 
mkuu kuna pungufu kidogo???

ntakupigia nataka kuja kuona,mi nahitaji kununua.
 
ni habari njema kwa wajasiriamali wanaotaka kujikomboa
 
Kwa umagamba wako utautwanga mbichi

why mkuu,unaonekana una husuda,chuki binafsi na roho mbaya.kwanini unaponda tangazo la mwenzako wakati kuna wanaohitaji nyumba????acha tabia hiyo sio nzuri.wadau tusikate tamaa kwa kusikiliza maneno ya waganga njaa kama huyu.
 
naona umepost pasipo stahili,hili ni jukwaa la siasa na sio biashara,back to home then repost ur nyumba inauzwa kwenye biashara tuliopo humu tumeshajenga.,
Kwa mawazo hayo inaonekana hujajenga. Ivi ukijenga ndio huwezi nunua nyumba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom